Unduh lagu favoritmu dari Mimi Mars berjudul Give Up hanya di STAFABANDMP3. Lagu ini tersedia dalam format MP3 dengan kualitas terbaik.
Nimeshagongwa na nyoka Ndo maana naogopa Hata nikiguswa na jani Huko nilipotoka Mwanzo nilishasota Kutafuta amani Wala sio kwamba Sikufikiriiii nakuwazaga Tena sio kwamba sikupendi Nakupendaga (aahh) Ila kwenye haya mambo Ya malavi davi Mwenzako nisha give up Oooh give up! Oooh give up! Na kwenye haya mambo Si ya kupendana Mwenzako nisha give up Oooh give up! Oooh give up! I think about money (eeehhhh) Ndo inanipa furaha Ukitaka tuelewane (eeeehhh) Labda uje na chapaaa (aahhh) Nakuangalia kwenye macho nakuvaa Nakuona ndani ya moyo wako Hauna furaha Hauna imani na mapenzi umejikataa Umemaliza kucha kwako kujikwaa jikwaa Huwezi niambie utabakia single You have no idea mi maji ya shingo Siko hapa Lindo sina hiyo mitindo Jackpot bingo penzi la kishindo Ushakutana na washenzi hawaeleweki Wacha nikupe mapenzi kudadadeki Wacha nikupe nafasi ya kujiona keki We malkia unahitaji kitu cha kuketi Furaha inatibika mambo yanabadilika Mi Mwenzako tika tika Niko misitu na nyika Niko kiangazi masika Nitapilika pilika na weee You need love baby girl Mapenzi ni dawa Ila kwenye haya mambo Ya malavi davi Mwenzako nisha give up Oooh give up! Oooh give up! Na kwenye haya mambo Si ya kupendana Mwenzako nisha give up Oooh give up! Oooh give up! I think about money (eeehhhh) Ndo inanipa furaha Ukitaka tuelewane (eeeehhh) Labda uje na chapaaa (aahhh) The Mix killer!
Download lagu Mimi Mars - Give Up (MP3) secara gratis dan cepat di STAFABANDMP3. Temukan informasi lengkap tentang lagu ini pada tabel di atas, termasuk lirik, link download, dan detail musik lainnya.
Semua lagu yang tersedia di STAFABANDMP3 berasal dari situs Converter YouTube. STAFABANDMP3 hanya berfungsi sebagai media perantara dengan tujuan untuk memberikan preview lagu.
Jika kamu merasa tidak nyaman atau keberatan lagu ini ditampilkan di STAFABANDMP3, silakan kirim email ke admin@stafabandmp3.org untuk permintaan penghapusan.
Sebaliknya, jika kamu menyukai lagu Mimi Mars – Give Up, kami sangat menyarankan untuk mendukung karya asli sang artis dengan membeli kaset, CD resmi, atau dengan cara download dan streaming lagu secara legal di platform resmi. Kamu juga bisa mendukung Mimi Mars dengan menonton konser, subscribe channel YouTube resminya, serta mengikuti akun media sosialnya.