Download Lagu Marioo, Harmonize - Naogopa

Naogopa
ArtisMarioo, Harmonize
AlbumThe Kid You Know
Dilihat57M
Durasi4:01

Unduh lagu favoritmu dari Marioo, Harmonize berjudul Naogopa hanya di STAFABANDMP3. Lagu ini tersedia dalam format MP3 dengan kualitas terbaik.

Lirik Naogopa

Mmh hahaha
Ye ye
Mmmh aaah aahhh
Sounds by abbahaaa

Kwetu situnasherehe
Mapenzi, sio makasiriko ah haa
Kwetu ni fuhara tele
Maana mapenzi, sio makasiriko mmh mmh

Hata kama tukishindia tembele
Ooh! My love
Baba mwenye nyumba kodi apige kelele
Ooh! My love

Hata kama tunapanda dala dala
Mi nawe my love
Et chetu chumba kina mavyombo tele
Inahusu?

Wala sidhani kama hunipendi
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh
Mwenzako najua kamaa unanipenda
Umeniweka moyoni
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije
Ndo ninaogopa (aah)

Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Aah aah aaaah naogopa (yao yao)

Hivi hushangai napendwa
Ila sura bado inakosa nuru
Yani najiona sipo huru
Napagawaa

Siku sinavyozidi kwenda
Najiona kabisa nitakufuru
Maana naishi ka-kunguru
Kutwa kuzificha mbawaa

Ridhiki yangu a papatu papatu
Mara nilipe vikoba upatu
Vipi ukija kutamani vya watu
Mimi si utaniacha

Ukiachilia mbali mashindao
Wanaonizidi pesa muonekano
Si lazima nikutajie mifano
Niahidi kama utayaweza mapambano

Icho ndo kinanipa mawaza
Nikikupost biashara matangazo
Sintoweza kukuechunga
Mbele za wenye mipunga

Mmh mmmh mmmh baby (Abee)
What can I do?
Baby, I no go let you go
And I want you more

Oh wooh wooh wooh baby (Abee)
What can I do?
Baby, I no go let you go
And I want you more

Mwenzako ooh
Aah aah aaaah naogopa
Kweli mwenzako naogopa
Aah aah aaaah naogopa
Baisi kiota changu kiona choyo

Aah aah aaaah naogopa
Maana wasije nichoma mkuki wa moyo
Aah aah aaaah naogopa
Na na na na hi aah
Konde boy call me number one Bahkresa
Mimwenzako naogopa aah
Aah aah mmh mmh aaah (Tshi)

Download lagu Marioo, Harmonize - Naogopa (MP3) secara gratis dan cepat di STAFABANDMP3. Temukan informasi lengkap tentang lagu ini pada tabel di atas, termasuk lirik, link download, dan detail musik lainnya.

Bagikan lagu ini:

Semua lagu yang tersedia di STAFABANDMP3 berasal dari situs Converter YouTube. STAFABANDMP3 hanya berfungsi sebagai media perantara dengan tujuan untuk memberikan preview lagu.

Jika kamu merasa tidak nyaman atau keberatan lagu ini ditampilkan di STAFABANDMP3, silakan kirim email ke admin@stafabandmp3.org untuk permintaan penghapusan.

Sebaliknya, jika kamu menyukai lagu Marioo, HarmonizeNaogopa, kami sangat menyarankan untuk mendukung karya asli sang artis dengan membeli kaset, CD resmi, atau dengan cara download dan streaming lagu secara legal di platform resmi. Kamu juga bisa mendukung Marioo, Harmonize dengan menonton konser, subscribe channel YouTube resminya, serta mengikuti akun media sosialnya.

Lagu Lainnya Dari Marioo

Anda Mungkin Tertarik